Saturday, June 1, 2013

Wasanii walipokutana Leaders (May 29) kuchangisha fedha za msiba wa Albe...



Ndani ya viwanja vya leaders, wasanii wa bongo flava akiwemo Prof. jay pamoja na dume la simba Afande sele wakati wa kuchangisha fedha kwaajili ya msiba wa Albert Mangwea maarufu kama "Ngwair"

No comments: